Taarifa ya Pongezi kwa Taasisi ya Mamlaka ya kuzuia Rushwa na Uhujumu wa Uchumi Zanzibar

Mamlaka ya Serikali Mtandao Zanzibar ikishirikiana na Ofisi ya Mhasibu Mkuu wa Serikali Zanzibar inaipongeza ZAECA kwa kuwa Taasisi ya kwanza Kukamilisha zoezi zima la ULIPAJI WA MISHAHARA kwa mwezi wa Julai 2024, kwa kutumia mfumo wa BAMAS.

Karibu Tuijenge Zanzibar ya Kidigital