VIONGOZI PAMOJA WATENDAJI WA OR – KSUUB, OR – IKULU NA OFISI YA MAMLAKA YA SERIKALI MTANDAO ZANZIBAR (EGAZ), WAKIWA KWENYE PICHA YA PAMOJA

Viongozi pamoja watendaji wa OR – KSUUB, OR – Ikulu na Ofisi ya Mamlaka ya Serikali Mtandao Zanzibar (eGAZ), wakiwa kwenye picha ya pamoja mara baada Makabidhiano ya Nyaraka za kuihamisha Ofisi ya Mamlaka ya Serikali Mtandao Zanzibar – eGAZ kutoka Ofisi ya Rais – Katiba, Sheria , Utumishi na Utawala Bora na kwenda Ofisi ya Rais – Ikulu.