eGAZ YAFANYA ZIARA YA KUSHTUKIZA BANDARINI NA KUKAGUA UTUMIAJI WA MFUMO JUMUISHI WA ONE STOP CENTER

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Serikali Mtandao Zanzibar (eGAZ) Ndg. Said Seif Said amefanya Ziara ya kushtukiza kukagua na kufuatilia changamoto zinazojitokeza kwenye Mfumo jumuishi wa One Stop Center hapo Bandarini Zanzibar.