Ujumbe wa Mkurugenzi Mkuu Mamlaka ya Serikali Mtandao Zanzibar

Fikra Chanya
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Serikali Mtandao Zanzibar Asisitiza Uimarishaji wa Mifumo ya Ukusanyaji wa Mapato Kupitia Mfumo wa ZanMalipo

Mkurugenzi MKuu wa Mamlaka ya Serikali Mtandao Zanzibar (eGAZ) Ndg, Said Seif Said asema haya kwenye kikao kazi….
eGAZ Kufanya Mafunzo ya Ndani kwa Waajiriwa Wapya

Masheha Kupatiwa ELIMU Kuhusu Matumizi ya TEHAMA

Kikao Kazi cha Mikakati ya Kuimarisha Ukusanyaji Mapato ya Serikali Kupitia Mifumo ya Taasisi Iliounganishwa na ZanMalipo
Mkutano wa Mashirikiano ya Pamoja baina ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) na Serikali ya Oman

Lengo : Kuondosha changamoto ya upatikanaji wa maji na umeme katika maeneo mbalimbali ya Zanzibar. Mkurugenzi Mtendaji wa Wakala wa Serikali Mtandao Zanzibar e-Government Said Seif Said aliyasema hayo wakati akifungua mkutano wa pamoja baina ya serikali na Wataalamu kutoka Oman katika masuala ya maji na umeme katika ukumbi wa Verde Mtoni. Aidha alisema mkutano huo una […]