- info@egaz.go.tz
- wasiliana Nasi
- Maswali
Menu
Ukuaji na mabadiliko ya Teknolojia imechangia kwa kiasi kikubwa uhitaji wa ushauri wa kitaalamu kwenye sekta ya TEHAMA kama vile Ununuzi wa Vifaa vya TEHAMA na ushauri juu ya Utengenezaji wa Mifumo
Ongezeko la matumizi ya mifumo katika Utumishi wa Umma imepeleka kuwepo kwa usimamizi wa karibu wa mifumo hiyo kwa ajili ya kutathmini ubora wake na kurahisisha ufanishi wa kazi na uwazi katika Sekta za Umma.
Wakala wa Serikali Mtandao imeandaa miongozo inayosimamia utekelezaji wa baadhi ya operesheni za TEHAMA na kuiweka bayana kwa lengo la kusaidia taasisi za umma kutoa huduma za serikali mtandao zinazoaminika na kwa urahisi.
Mchakato wa kubuni mifumo ya mwingiliano wa watumiaji, kwa lengo la kutoa uzoefu bora kwa watumiaji.
ni kubuni na kuunda miundombinu ya mifumo ya kidigitali ili kuhakikisha kuwa inakidhi mahitaji ya watumiaji.
kujenga na kutoa maarifa, ujuzi, na ubunifu kupitia mbinu mbalimbali, zikiwemo mafunzo rasmi, warsha, na mazoezi ya vitendo.
Ubunifu bora wa tovuti unachanganya mbinu za kiufundi ili kuhakikisha kuwa tovuti inavutia na inatoa uzoefu bora kwa mtumiaji.
Kuboresha uzoefu wa mtumiaji, kuongeza ufanisi, na kuhakikisha changamoto zinatatuliwa kwa haraka na kwa njia ya kitaalamu.
huduma inayowezesha tovuti au programu za mtandaoni kuhifadhiwa kwenye seva na kupatikana kupitia mtandao wa intaneti.
Kumbukumbu ya Hayat Baba wa Taifa
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Serikali Mtandao Zanzibar (eGAZ)
Lengo : Kuondosha changamoto ya upatikanaji wa maji na
© 2024 - eGAZ. Haki zote zimehifadhiwa
Imetayarishwa na Kusanifiwa na Wakala wa Serikali Mtandao Zanzibar