Mamlaka ya Serikali Mtandao ni taasisi ya Umma iliyoanzishwa kwa sheria nambari 12 ya mwaka 2019 yenye jukumu la kuratibu, kusimamia na kukuza jitihada za Serikali Mtandao pamoja na kuhimiza utekelezaji wa Sera, Sheria, Kanuni, Viwango na Miongozo ya Serikali Mtandao kwa taasisi za umma
- Chombo cha juu cha kutoa mwelekeo wa kimkakati na kusimamia utendaji wa Mamlaka.
- Inahakikisha uwajibikaji, uwazi na ufanisi wa eGAZ.