Mamlaka ya Serikali Mtandao – eGAZ inaungana na Watanzania wote katika kuadhimisha miaka 61 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar.

Tumia Mifumo ya TEHAMA kwa Maendeleo ya Nchi yetu.