Mkutano wa Mashirikiano ya Pamoja baina ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) na Serikali ya Oman

Lengo : Kuondosha changamoto ya upatikanaji wa maji na umeme katika maeneo mbalimbali ya Zanzibar. Mkurugenzi Mtendaji wa Wakala wa Serikali Mtandao Zanzibar e-Government Said Seif Said aliyasema hayo wakati akifungua mkutano wa pamoja baina ya serikali na Wataalamu kutoka Oman katika masuala ya maji na umeme katika ukumbi wa Verde Mtoni. Aidha alisema mkutano huo una […]